Ufafanuzi wa mfaa katika Kiswahili

mfaa

nominoPlural mfaa, Plural mifaa

  • 1

    upapi wa ubao unaofungwa katikati ya mlango ili kuzuia upande mmoja usipite upande mwingine wa pili; upanga wa mlango.

Matamshi

mfaa

/mfa:/