Ufafanuzi wa mfadhaiko katika Kiswahili

mfadhaiko

nomino

  • 1

    wasiwasi mkubwa unaoambatana na kuchanganyikiwa.

  • 2

    shinikizo la damu.

    jakamoyo, fukuto

Asili

Kar

Matamshi

mfadhaiko

/mfaðaIkɔ/