Ufafanuzi wa mfagio katika Kiswahili

mfagio

nominoPlural mifagio

  • 1

    mmea ambao majani yake hukatwa na kutumiwa kwa kufagilia.

Matamshi

mfagio

/mfagijɔ/