Ufafanuzi wa mfanyabiashara katika Kiswahili

mfanyabiashara

nominoPlural wafanyabiashara

  • 1

    mtu afanyaye shughuli za kununua na kuuza bidhaa ili kujipatia kipato.

    tajiri

Matamshi

mfanyabiashara

/mfaɲabija∫ara/