Ufafanuzi wa mfasiri katika Kiswahili

mfasiri

nominoPlural wafasiri

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutafsiri matini kutoka lugha moja hadi nyingine.

Asili

Kar

Matamshi

mfasiri

/mfasiri/