Ufafanuzi wa mfilisi katika Kiswahili

mfilisi

nominoPlural wafilisi

  • 1

    mtu anayesimamia mali ya shirika au kampuni iliyofilisika kwa kuuza mali zote zilizopo na kulipa wadai wa kampuni.

Asili

Kar

Matamshi

mfilisi

/mfilisi/