Ufafanuzi wa mfiraji katika Kiswahili

mfiraji

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kulawiti.

    afande, basha, mlawiti

Asili

Kar

Matamshi

mfiraji

/mfiraʄi/