Ufafanuzi wa mfiwa katika Kiswahili

mfiwa

nomino

  • 1

    mtu aliyefikwa na msiba wa kuondokewa na mtu wake duniani.

Matamshi

mfiwa

/mfiwa/