Ufafanuzi wa mfuafedha katika Kiswahili

mfuafedha

nominoPlural wafuafedha

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutengeneza vitu kutokana na madini ya fedha.

    sonara

Matamshi

mfuafedha

/mfuafeða/