Ufafanuzi wa mfuasi katika Kiswahili

mfuasi

nominoPlural wafuasi

  • 1

    mtu anayemfuata kiongozi fulani, agh. kiongozi wa dini au siasa.

  • 2

    mtu anayefuata dini au itikadi fulani.

    maamuna, mlungizi

Matamshi

mfuasi

/mfuwasi/