Ufafanuzi wa mfugaji katika Kiswahili

mfugaji

nomino

  • 1

    mtu afugaye wanyama kwa ajili ya biashara au chakula.

Matamshi

mfugaji

/mfugaʄi/