Ufafanuzi wa mfumaji katika Kiswahili

mfumaji, mfumi

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutengeneza vitambaa au sweta kwa nyuzi.

  • 2

    mtu anayechoma kwa mkuki.

Matamshi

mfumaji

/mfumaʄi/