Ufafanuzi wa mfumbati katika Kiswahili

mfumbati

nomino

  • 1

    ubao au mti mrefu kwenye ubavu wa kitanda.

Matamshi

mfumbati

/mfumbati/