Ufafanuzi wa mfumo katika Kiswahili

mfumo

nominoPlural mifumo

  • 1

    mtindo wa ufumaji.

  • 2

    utaratibu wa utendaji au utekelezaji wa jambo au mambo.

Matamshi

mfumo

/mfumɔ/