Ufafanuzi wa mfumojike katika Kiswahili

mfumojike

nominoPlural mifumojike

  • 1

    mfumo unaowapa wanawake mamlaka na kuwafanya kuwa juu ya wanaume.

Matamshi

mfumojike

/mfumɔjikɛ/