Ufafanuzi wa mfumolugha katika Kiswahili

mfumolugha

nomino

  • 1

    utaratibu wa kufanya mawasiliano kwa kutumia lugha.

  • 2

    muundo wa lugha.

Matamshi

mfumolugha

/mfumɔ luɚa/