Ufafanuzi wa mfunda katika Kiswahili

mfunda

nominoPlural mifunda

  • 1

    alama inayoonyesha sehemu yanapoishia mashindano fulani.

Matamshi

mfunda

/mfunda/