Ufafanuzi msingi wa mfuo katika Kiswahili

: mfuo1mfuo2mfuo3mfuo4

mfuo1

nominoPlural mifuo

 • 1

  chombo cha seremala cha kuchimbia mtaro au kutobolea matundu mapana.

Matamshi

mfuo

/mfuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfuo katika Kiswahili

: mfuo1mfuo2mfuo3mfuo4

mfuo2

nominoPlural mifuo

 • 1

  mstari, agh. wa kuchora.

  mtaraza, mstari

Matamshi

mfuo

/mfuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfuo katika Kiswahili

: mfuo1mfuo2mfuo3mfuo4

mfuo3

nominoPlural mifuo

 • 1

  mtindo wa utengenezaji wa mapambo yanayotokana na madini.

Matamshi

mfuo

/mfuwɔ/

Ufafanuzi msingi wa mfuo katika Kiswahili

: mfuo1mfuo2mfuo3mfuo4

mfuo4

nominoPlural mifuo

 • 1

  hali au tendo la kusafisha nguo; mtindo wa kufua.

Matamshi

mfuo

/mfuwɔ/