Ufafanuzi wa mfupa katika Kiswahili

mfupa

nominoPlural mifupa

  • 1

    kitu cheupe kigumu kama pembe kilicho ndani ya mwili wa binadamu au mnyama kinachoshikilia minofu; mfumo wa seli ngumu nyeupe za kalisi mwilini.

Matamshi

mfupa

/mfupa/