Ufafanuzi wa mfurungu katika Kiswahili

mfurungu

nominoPlural mifurungu

  • 1

    mti jamii ya mlimau unaostawi mwituni.

    mlimaumwitu

Matamshi

mfurungu

/mfurungu/