Ufafanuzi wa mfutafuta katika Kiswahili

mfutafuta

nominoPlural mifutafuta

  • 1

    mti mdogo wa porini uzaao matunda kama ufuta; ufuta pori.

Matamshi

mfutafuta

/mfutafuta/