Ufafanuzi wa mfyeko katika Kiswahili

mfyeko

nomino

  • 1

    tendo la kukata k.v. nyasi, kwa dharuba.

Matamshi

mfyeko

/mfjɛkɔ/