Ufafanuzi wa mfyosi katika Kiswahili

mfyosi

nominoPlural wafyosi

  • 1

    mtu anayefanya mambo ya ufidhuli na karaha au ya kutaniatania.

Matamshi

mfyosi

/mfjɔsi/