Ufafanuzi wa mgagani katika Kiswahili

mgagani

nominoPlural migagani

  • 1

    mmea wenye majani madogo yenye umbo lililogawanyika katika sehemu tano, maua meupe ambayo hutokeza nchani na majani yake ni mboga.

    mkabilishamsi, mwangani, mgange

Matamshi

mgagani

/mgagani/