Ufafanuzi wa mgandisho katika Kiswahili

mgandisho

nomino

  • 1

    hali ya kufanya kitu cha majimaji kiwe kigumu, agh. kwa kukiweka katika mazingira ya baridi.

Matamshi

mgandisho

/mgandi∫ɔ/