Ufafanuzi msingi wa mgando katika Kiswahili

: mgando1mgando2

mgando1

nominoPlural migando

  • 1

    hali ya kiowevu kubadilika kuwa kigumu, kizito au barafu.

Matamshi

mgando

/mgandɔ/

Ufafanuzi msingi wa mgando katika Kiswahili

: mgando1mgando2

mgando2

nominoPlural migando

  • 1

    ugeukaji wa kiowevu chenye ladha nzuri au tamu kuwa chachu.

Matamshi

mgando

/mgandɔ/