Ufafanuzi wa mgangaji katika Kiswahili

mgangaji

nomino

  • 1

    mtu mwenye ujuzi wa kutibu viungo vya mwili vilivyovunjika.

    mhazigi

Matamshi

mgangaji

/mgangaʄi/