Ufafanuzi wa mgawano katika Kiswahili

mgawano

nomino

  • 1

    tendo au njia ya kugawana kitu.

Matamshi

mgawano

/mgawanÉ”/