Ufafanuzi wa mgawanyiko katika Kiswahili

mgawanyiko

nominoPlural migawanyiko

  • 1

    hali ya kuwa mbalimbali kwa vitu au watu.

    ‘Kuna mgawanyiko katika ukoo ule’
    chamkano, farakano

Matamshi

mgawanyiko

/mgawaɲikɔ/