Ufafanuzi wa mgimba katika Kiswahili

mgimba

nominoPlural wagimba

  • 1

    mganga anayeaminika kuwezesha mvua kunyesha kimuujiza.

Matamshi

mgimba

/mgimba/