Ufafanuzi wa mgogoro katika Kiswahili

mgogoro

nominoPlural migogoro

  • 1

    hali ya kutoafikiana baina ya pande mbili au zaidi.

    mkwamo, ugomvi

Matamshi

mgogoro

/mgɔgɔrɔ/