Ufafanuzi wa mgogoyo katika Kiswahili

mgogoyo

nominoPlural migogoyo

  • 1

    waadhi au wasia maalumu anaopewa mtu ili aushike sana.

Matamshi

mgogoyo

/mgɔgɔjɔ/