Ufafanuzi wa mgomaji katika Kiswahili

mgomaji

nominoPlural wagomaji

  • 1

    mtu anayekataa kufanya jambo, agh. kazi, mpaka masharti fulani yatimizwe.

Matamshi

mgomaji

/mgɔmaʄi/