Ufafanuzi wa mgombakofi katika Kiswahili

mgombakofi

nominoPlural migombakofi

  • 1

    mmea unaofanana na mgomba, una majani mapana na huzaa viazi vinavyofanana na majimbi.

    mtongonya

Matamshi

mgombakofi

/mgɔmbakɔfi/