Ufafanuzi msingi wa mgong’oto katika Kiswahili

: mgong’oto1mgong’oto2

mgong’oto1

nominoPlural migong’oto

  • 1

    utoaji wa wasia au nasaha kwa mtu k.v. mtoto, jamaa au rafiki juu ya maisha.

Matamshi

mgong’oto

/mgɔŋɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa mgong’oto katika Kiswahili

: mgong’oto1mgong’oto2

mgong’oto2

nominoPlural migong’oto

  • 1

    mlio wa kitu kinachogotwa au kugongwa k.v. mtu anapogonga mlango wakati wa kubisha.

  • 2

    mgongogongo.

Matamshi

mgong’oto

/mgɔŋɔtɔ/