Ufafanuzi wa mgongaji katika Kiswahili

mgongaji

nomino

  • 1

    mfanyabiashara anayewauzia wateja bidhaa kwa bei za juu sana kidhuluma.

Matamshi

mgongaji

/mgɔngaʄi/