Ufafanuzi msingi wa mgongo katika Kiswahili

: mgongo1mgongo2

mgongo1

nominoPlural migongo

  • 1

    sehemu ya nyuma ya mwili wa binadamu au mnyama kutoka kiungio cha shingo na mabega hadi kiunoni.

Matamshi

mgongo

/mgɔngɔ/

Ufafanuzi msingi wa mgongo katika Kiswahili

: mgongo1mgongo2

mgongo2

nominoPlural migongo

  • 1

    mpigo wa kitu au sauti ya kugongwa.

Matamshi

mgongo

/mgɔngɔ/