Ufafanuzi wa mgonzo katika Kiswahili

mgonzo

nomino

  • 1

    ugonjwa wa matende unaotokana na uvimbe wa miguu.

Matamshi

mgonzo

/mgɔnzɔ/