Ufafanuzi wa mgoza katika Kiswahili

mgoza

nominoPlural migoza

  • 1

    mti ulio laini na ambao hutumiwa kupekechea moto.

    mboza

Matamshi

mgoza

/m gɔza/