Ufafanuzi wa mgunduzi katika Kiswahili

mgunduzi

nomino

  • 1

    mtu anayedhihirisha kitu au jambo lililokuwa limejificha au lililokuwa halijulikani.

Matamshi

mgunduzi

/mgunduzi/