Ufafanuzi wa mguruto katika Kiswahili

mguruto

nominoPlural miguruto

  • 1

    tendo la kulainisha nguo kwa kupitisha kati ya vigogo viwili vya mviringo.

Matamshi

mguruto

/mgurutɔ/