Ufafanuzi wa mgusano katika Kiswahili

mgusano

nominoPlural migusano

  • 1

    tendo la kukutana au kukaribiana sana na hatimaye kugusana kwa vitu.

Matamshi

mgusano

/mgusanɔ/