Ufafanuzi wa mguto katika Kiswahili

mguto

nominoPlural miguto

  • 1

    sauti ya mtu inayosikika kwa mbali wakati anapopiga kelele au kuita.

Matamshi

mguto

/mgutɔ/