Ufafanuzi wa mgutusho katika Kiswahili

mgutusho

nomino

  • 1

    utiaji wa hofu au kushtua; kutia hofu au kugutua.

    mshtuo, mkurupusho

Matamshi

mgutusho

/mgutu∫ɔ/