Ufafanuzi wa mguu katika Kiswahili

mguu

nominoPlural miguu

  • 1

    kiungo cha mwili wa binadamu, mnyama au mdudu kinachomwezesha kusimama au kwenda.

    moo, ondo, guu

  • 2

    kitu chochote kinachofanya kazi kama hiyo.

    ‘Mguu wa meza’

Matamshi

mguu

/mgu:/