Ufafanuzi wa mhadhara katika Kiswahili

mhadhara

nominoPlural mihadhara

  • 1

    maelezo juu ya mada fulani yanayotolewa mbele ya watu au wanafunzi, hasa katika vyuo vya elimu ya juu, kuwa ni sehemu ya mafunzo.

Asili

Kar

Matamshi

mhadhara

/mhaðara/