Ufafanuzi wa mhadhiri katika Kiswahili

mhadhiri

nominoPlural wahadhiri

  • 1

    mtu anayetoa mhadhara.

  • 2

    mwalimu katika chuo cha elimu ya juu, hususan chuo kikuu.

Asili

Kar

Matamshi

mhadhiri

/mhaðiri/