Ufafanuzi wa mhamiaji katika Kiswahili

mhamiaji

nomino

  • 1

    mtu aliyehamia mahali kutoka sehemu nyingine.

    mhajiri

Matamshi

mhamiaji

/mhamijaʄi/