Ufafanuzi wa mhandisi katika Kiswahili

mhandisi

nominoPlural wahandisi

  • 1

    mtu mwenye maarifa na ujuzi wa kuunda, kutunza na kutengeneza mitambo, majengo na vitu mbalimbali.

    injinia

Matamshi

mhandisi

/mhandisi/