Ufafanuzi wa mharage katika Kiswahili

mharage, mharagwe

nominoPlural miharage

  • 1

    mmea unaofanana na mkunde na mfiwi unaozaa mbegu zinazofanana na kunde lakini kubwa na ambazo hutumika kwa chakula.

Asili

Kaj

Matamshi

mharage

/mharagɛ/